‘Cali Swag District’, Rapper afariki akiwa na miaka 25 (JAY ARE)

cali
JayAre toka kikundi cha ‘Cali Swag District’ amekufa ijumaa hii kwa sababu alizaliwa na ugonjwa wa “sickle Cell Anemia, mkoja wa rapper wa kwenye kikundi chao alielezea. Jay alikuwa anaumwa sickle cell anemia na alikuwa amelazwa hospitalini alhamisi bila sababu yoyote, mida kadhaa iliyopita hali yake ilizidi kuwa mbaya hadi mauti yalipomkuta.
General Da Smoove – mmoja wa members wa kundi la CSD – aliweka ujumbe twitter akisema ,”Sickle cell took my brother away from me today.With that being said I’m proud to know that with that disease he made the best of his life … I jus(sp) saw my bro literally fight for his life I told him ‘I love you bro’ hope’n he heard me..”

Mbaya zaidi sio wa kwanza kufa kwenye kikundi hicho cha Cali Swag… in 2011, CSD member M-Bone alipigwa risasi na kufa Pale pale..
3191

Post a Comment

Previous Post Next Post