HII NDIO TASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA MZEE SMALL


Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es Salaam.
 

Dada ya marehemu Mzee Small, Sauda Ngamba akiwa na majonzi baada ya kuondokewa na kaka yake.
Sauda akilia kwa uchungu.

Post a Comment

Previous Post Next Post