Hivi Ndivyo Wapenzi wa CASTLE LITE walivyohudhuria tamasha la TIMBALAND South Africa


1
Pichani ni Wapenzi wa Castle Lite toka sehemu mbalimbali wakipozi katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili Chaf-Pozi, Soweto.
Hatimaye Bia ya Castle Lite iliwapeleka mashabiki wanane nchini Afrika Kusini kushuhudia tamasha la mwanamuziki Timbaland lililofanyika Super Sport Park, Pretoria. Mashabiki hao waliopatikana mara baada ya kushiriki shindano maalum ambalo liliwataka kutuma namba zilizokuwa ndani ya vizibo vya bia hiyo na baadae kuchezeshwa bahati nasibu iliyochagua washindi. Wakiwa nchini Afrika Kusini mashabiki hao waliweza kutembelea sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na Soweto pia maeneo ya jiji la Pretoria kabla ya kuhudhuria tamasha hilo lililofana
2
Mmoja ya wapenzi wa Castle Lite akipata chakula cha usiku Chaf-Pozi
3
DJ akiwaburudisha wageni na mashabiki
4
Wapenzi wa Castle Lite wakishuka Stone Crade kwa ajili ya chakula cha mchana siku ya tamasha
5
Mmoja ya washindi toka Tanzania akinywa Castle Lite
6
Mashabiki wakiwasili Super Sport Park kwa ajili ya tamasha la Timbaland
7
Eneo la maakuli katika sehemu ya wageni maalum (VIP)
8
Kadi maalum ya kujipatia vinywaji kwa wageni mashuhuri (VIP)
9
Mhudumu akiwahudumia mashabiki Stone Cradle
10
Mashabiki wakigonganisha glasi kabla ya tamsha kuanza
11
Micasa na Black Mambazo jukwaani katika onyesho la utangulizi
12 13
Timbaland akilishambulia jukwaa Super Sport Park

Post a Comment

Previous Post Next Post