Hizi Ndio Picha 5 za Utengenezaji wa video mpya ya FEZA “MY PAPA”
Hisia0
Feza akiwa na Super Model Daxx ambaye
anafanya kazi zake za modeling huko South Africa, Daxx yeye ataonekana
kwenye video hii ya Feza akicheza kama mchumba wa Feza. Video imeshutiwa
kule kule South Africa pande za Joburg
Post a Comment