IATU AINA YA LAKUCHUMPA KUVALIWA NA NYOTA WA KIMATAIFA KOMBE LA DUNIA.

Kampuni yakutengeneza vifaa vya michezo kama jezi,viatu,mipira na kadhalika ya Puma imezindua viatu vya Evo Power kwa ajili ya kombe la dunia 2014 linalofanyika Brazil mwaka huu.Fahamu uzinduzi wa viatu hivi umefanywa na wachezaji wawili ambao ni Super Mario Balotelli wa Italia na  Cec Fabregas kutoka Hispania.

Post a Comment

Previous Post Next Post