
Rais Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Waziri Mwandamizi anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ndani wa
Jamhuri ya Singapore, Mhe. Masagos Zulkifli, Ikulu jijini Dar es salaam Mei 6,
2014. Waziri huyo na ujumbe wake yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tano


Rais Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri Mwandamizi
anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ndani wa Jamhuri ya Singapore, Mhe. Masagos
Zulkifli, Ikulu jijini Dar es salaam Mei 6, 2014. Waziri huyo na ujumbe wake
yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tano.

Rais Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mwandamizi
anayeshughulikia Mambo ya Nje na Ndani wa Jamhuri ya Singapore, Mhe. Masagos
Zulkifli, na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam Mei 6, 2014. Waziri
huyo yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tano. Wa pili kutoka kulia
mstari wa mbele ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha, na kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania
nchini India anayewakilisha pia nchini Singapore, Mhe. John Kijazi .Picha na IKULU
Post a Comment