“Nimeisikia dizain ya
wizi mpya wapendwa. Jamaa wanakufwata mpaka utapo paki ukipaki wanavizia
nakuondoa plate number yako.Ukirudi unaingia kwenyegari unaanza
kuendesha wanakungojea mpaka ukae pazuri
wanaku overtake,dirishani wanakuonyesha plate number yako yani kama
imedondoka.Ukisimama umekwisha. gari, maisha hauna tena so ikikutokea
fikiria, kusimamisha gari kunaweza kua mwisho wa maisha yako.
Mungu awalinde wapendwa.
Mfahamishe na mwingine.
Post a Comment