
Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha Mwakilishi wa Chama cha
Mpira wa Miguu Mkoa wa Mara (FAM) katika Mkutano Mkuu wa TFF, William
Chibura kilichotokea leo asubuhi (Juni 3 mwaka huu) katika Hospitali ya
Mkoa wa Mara mjini Musoma.
Chibura aliyezaliwa mwaka 1969
alikuwa mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF akiwakilisha klabu za Mkoa wa Mara
kupitia FAM. Aliwahi kuichezea Musoma Shooting, na baadaye kuwa Soma Zaidi Hapa
Post a Comment