BREAKING NEWS KUNANI DODOMA ?

WanaCCm wamefika katika jengo lao, Dodoma na kukuta limepigwa maneno ya rangi nyekundu: NO  KATIBA UFISADI na kama hilo halitoshi kuna vipepersuhi vinasambazwa vikisema maneno yanayoudhi lakini kimoja kimeandikwa:
:ONYO DODOMA SI MAHALI PA KUFUGA WEZI WA MALI ZA UMMA UTAKAYEINGIA BUNGENI KUANZIA KESHO YATAKAYOKUPATA UTAJUTA:
Hayo yako Dodoma, kaazi kwelikweli.

Post a Comment

Previous Post Next Post