katika
pitapita yangu nilikutana na bucha moja ya kisasa ambayo iliopo katika
mtaa wa uhindini manispaa ya iringa inayotumia vifaa vya kisasa vya
kukatia nyama pamoja na kuhifadhiwa na kwekwa kwenye vifungashio safi
na usalama kiafya kwa walaji. ushauri wangu kwa serikali ni kwamba
bucha zote za mijini ziwe na visu vya umeme vya kukatia nyama pamoja na
kuwa chumba baridi (coldroom) kwa ajili ya kuhifadhia nyama, lakini sio
kwa kutumia mashoka na mapanga kucharanga nyama ambapo usalama kiafya
kwa mlaji duni. (friday simbaya)

katika
pitapita yangu nilikutana na bucha mmoja ya kisasa ambayo iliopo katika
mtaa wa uhindini manispaa ya iringa inayotumia vifaa vya kisasa vya
kukatia nyama pamoja na kuhifadhiwa na kwekwa kwenye vifungashio safi
na usalama kiafya kwa walaji. ushauri wangu kwa serikali ni kwamba
bucha zote za mijini ziwe na visu vya umeme vya kukatia nyama pamoja na
kuwa chumba baridi (cold room) kwa ajili ya kuhifadhia nyama, lakini sio

Post a Comment