Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
Peter Serukamba (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la
katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha
Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini
Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda , Anna Abdallah
(kushoto) na Ave maria Semakafu wakizungumza kwenye viwanja vya Bunge
Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Haidar
Madeweyya wakizungumza kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba
26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)
![PG4A9943[1]](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/PG4A99431-1024x698.jpg)
![PG4A9944[1]](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/PG4A99441-1024x692.jpg)
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Pindi Chana
wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji
Frederick Werema kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26,
2014. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment