Haya Ndiyo Yaliyojiri MBEYA kwenye show ya COCA COLA STUDIO AFRICA - Angalia Picha Zote Hapa

Ilikuwa show zuri sana jioni hii ya leo hapa viwanja vya Mwenge Primary School iliyopo maeneo ya Soweto Mbeya, wasanii waliokuwa wakifanya show ni Izzo B pamoja na Joh Makini.

Post a Comment

Previous Post Next Post