
Vugu vugu linalojulikana kama
occupy Central lilichochewa na mandamano ya wanafunzi waliovamia makao
makuu ya serikali ijumaa usiku na kusababisha makabiliano na polisi.
Waandamanaji hao wanaitaka Uchina kuwapa uhuru kumchagua kiongozi wa mji wa Hong Kong mwaka 2017.
Waandamanaji wana hasira kuwa Uchina inataka wagombea wanaogemea upande wake kusimama uchaguzi.
Post a Comment