Wachezaji wa timu mbili za Chuoni na Zimamoto zikiingia Uwanja kuaza kwa
mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar wakiongozwa na
Waamuzi wa mchezo huo, uliofanyika katika uwanja wa Amaan Timu ya
Zimamoto imeshinda katika mchezo huo kwa bao2--0
Kikosi cha Timu ya Zimamoto kilichoaza mchezo wake na timu ya Chuoni na
kuondoka kifua mbele kwa ushindi wa mabao 2--1 mchezo uliofanyika uwanja
wa amaan.
Waamuzi waliochezesha mchezo wa fungua dimba la ligi kuu ya Grand Malt
uliofanyika uwanja wa Amaan na kuzikutanisha timu za Chuoni na Zimamoto.
Kikosin cha timu ya Chuoni kilichokubali kipigo cha mabao 2--1 na timu
ya Zimamoto katika mchezo wao wa fungua dimba wa ligi kuu ya Grand Malt
Zanzibar katika uwanja wa Amaan.
Wachezaji wa Timu ya Chuoni wakisalimiana na Wachezaji wa timu ya
Zimamoto kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa ligi kuu ya Grand Malt mchezo
uliofanyika uwanja wa Amaan.
Beki wa timu ya Chuoni Hafidh Mohammed, mwenyev jezi nyekundu, akimzuiya
mshambuliaji wa timu ya Zimamoto, Hakim Khamis, wakati akimpita wakati
wa mchezo wao wa ufunguzi wa ligi kuu ya Grand Malt mchezo uliofanyika
katika uwanja wa Amaan, Timu ya Zimanoto imeshinda 2--1.
Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Hakim Khamis, akijaribu kumpita beki wa
timu ya Chuoni Saleh Hamad. katika mchezo wa ligi kuu ya Grand Malt
uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Zimamoto imeshinda 2---1
Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto akimpita beki wa timu ya Chuoni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt.
Mshambuliaji wa timu ya Chuoni akimpita beki wa timu ya Zimamoto katika
mchezo wa ligi kuu ya grand malt uliofanyika uwanja wa Amaan.timu ya
Zimamoto imeshinda 2--1.
Kocha wa timu ya Chuoni Ali Bekar, akiwa na simazi baada ya timu yake
kusalimu amri kwa timu ya Zimamoto mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan.
Wachezaji wa timu ya Chuoni wakiwa hawaamini macho yao baada ya timu yao kukubali kipigo cha bao 2--1
Mchezaji wa timu ya Zimamoto akijaribu kumpita beki wa timu ya Chuoni
katika mchezo wa Ligi Kuu ya Grand Malt uliofanyika katika uwanja wa
Amaan, timu ya Zimamoto imeshinda 2--1.
Post a Comment