MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA

PG4A0416 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Kapteni John Komba, Bungeni mjini Dodoma Septemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A0440 
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Ameir kificho (kushoto) na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi wakiteta, Bungeni mjini Dodoma Septemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A0462 
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Lazaro Nyarandu (kushoto) na Mwigulu Mchemba wakiteta, bungeni Mjini Dodoma Septemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A0533 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza, Bungeni Mjini Dodoma Septembe 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A0633 
Mwenyekiti  wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta akifafanua kuhusu namna wajumbe wa Bunge hilo watakavyopiga kura, bungeni mjini Dodoma Septemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A0777 
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Bernard Membe wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Previous Post Next Post