Kama jina lako lipo hapa omba mkopo kupitia www.heslb.go.tz kama unahitaji. Kozi hizi zina ufadhili wa serikali kwa watakaokidhi vigezo vya bodi.
Mawasiliano zaidi yatatolewa na UDOM. Kumbuka UDOM ni chuo kikuu na
hivyo mamlaka ya mwisho kuhusu kujiunga na chuo hutolewa na senate ya
chuo. Hivyo majina haya yametolewa kuwawezesha kuomba mkopo wakati
mkisubiri taarifa rasmi kutoka UDOM.
Post a Comment