Mwenyekiti
wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungia wananchi wakati msafara
wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la
Vunjo.
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia)
Umati
wa wakazi wa mji wa Himo wakisiliza kwa makini hotuba zilizokuwa
zikitolewa katika mkutano wa hadhara wa Mh James Mbatia aliofanya katika
uwanja wa Ghalani
Post a Comment