Una
swali lolote kuhusiana na kampeni yetu kabambe ya Weka na Ushinde?
Alhamisi tarehe 25 Septemba Bw. Boma Raballa Meneja Bidhaa wa NMB
atakupa majibu yako! Kuwa naye Live kuanzia saa 08.00 mchana hadi saa
09.00 mchana kupata majibu ya moja kwa moja!
Tembelea kurasa yetu kupitia https://www.facebook. com/OfficialNMBTZ

Post a Comment