

Baadhi ya wahudumu waliovalia mavazi maalumu wa wodi
maalumu iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo
la hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaangalia wahudumu waliopata
mafunzo maalumu ya kumhudumia mgonjwa wa ebola wakati alipokagua wodi
maalumu iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo
la hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wauguzi waliovalia
mavazi maalumu tayari kutoa huduma kwa abiria atayekutwa na ugonjwa wa
ebola mara atapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili
kutokea Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya jinsi madakrai
na wauguzi walivyo jiandaa kufanya ukaguzi wa abiria na kutambua
wagonjwa wa ebola mara watapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Jueb4: lius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya jinsi vifaa maalumu
vinavyofanya kazi ya kutambua wagonjwa wa ebola mara watapowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo wakati
alipokagua wodi maalumu iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola
iliyoko katika eneo la hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo
Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo ya namna ya
kuhudumia abiria wakati wa ukaguzi wa wagonjwa wa ebola mara
watapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea
Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Waziri wa Afya na
Ustawi wa Jamii Dkt. Self Rashid
Rashid Hemed jinsi Tanzania ilivyojipanga kupambana
na ugonjwa hatari wa ebola baada ya kukagua wodi maalumu iliyotengwa
kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la hospitali ya
Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili
kutokea Dodoma.Picha na IKULU
Post a Comment