Kikosi cha Simba FC kilichoanza mechi ya leo dhidi ya Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (katikati) akiwania mpira na wachezaji wa Gor Mahia.
Mashabiki wa Simba wakiendelea kuangalia mechi.
SIMBA
SC imeonyesha ubora wake wa msimu huu, baada ya kuwafumua mabingwa wa
Kenya, Gor Mahia mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa
Taifa, Dar es Salaam.
Mabao ya Simba SC yamepatikana kipindi cha pili, wafungaji Paul Kiongera aliyeiadhibu mara mbili timu yake ya zamani na Ramadhani Singano ‘Messi’ moja.
Mabao ya Simba SC yamepatikana kipindi cha pili, wafungaji Paul Kiongera aliyeiadhibu mara mbili timu yake ya zamani na Ramadhani Singano ‘Messi’ moja.
(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)
Post a Comment