Simulizi la Ahmed Mngazija alivyojikuta a'shatumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya - Audio

Sikiliza audio ya mahojiano na Ahmed Mngazija a.k.a Pongonyongo ambaye ni mmoja kati ya waathirika wa madawa ya kulevya Zanzibar.
Ahmed anaeleza jinsi alivyojiingiza bila ya kutegemea katika janga hilo, pia anazungumzia juu ya maisha ya wengi walioathirika na mihadarati kisiwani Zanzibar.

Sikujua wala sikutambua lakini nilipomsikiliza kwa makini ndipo nilipofunguka na kuelewa zaidi juu ya ndugu zetu waliotumbukia bila ya kutegemea katika uvutaji wa madawa ya kelevya, na kwa kweli wanahitaji kupewa msaada mkubwa wa kuwaponyesha na majanga haya.


Imeshirikishwa na: About Shatry Blogu ya SwahiliVilla

Post a Comment

Previous Post Next Post