Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawaarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala
kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE
|
MUDA
|
SABABU
|
MAENEO YANAYOATHILIKA
|
20th -21Septemba,2014
Jumamosi-Jumapili
|
09:00-18:00pm
|
Kuamisha line kubwa wa 11KV ili kupisha ujenzi wa 132KV inayotoka Ubungo kwenda Gongolamboto
|
Alhamza,
Buguruni Mnyamani, Saafa Plastic, Murzah Soap, Metro Plastic, Omary
Packging, Jumbe Packaging, Kiwalani Kigilagila, kwa Dingubita, Beach,
kwa Gude
|
21st September,2014
Jumapili
|
09:00-18:00pm
|
Kufanya matengenezo,Kubadilisha Nguzo zilizooza,Kukata Matawi ya Miti na Kukaza Nyaya katika Njia Kubwa ya Umeme ya C2 na C8
|
Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Viwanja vya Gymkhana,Hoteli ya
Serena,Hospitali ya Agakhani,Hoteli ya Protea,barabara ya All Hassan
Mwinyi baadhi ya maeneo yaliyoko pembezoni mwa barabara ya Alkhanina,Las
Vegas Casino,maeneo ya mtaa wa Ruhinda,Mtaa wa Vijibweni,baadhi ya
maeneo ya mtaa wa Ohio,maeneo ya Sea view,Makao Makuu ya benki ya Exim
na maeneo yanayouzunguka.
|
Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:
022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586. Au Call centre namba
022- 2194400/0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano,
Tanesco-Makao Makuu
022 213 3330, 0784 768586, 0715 768586. Au Call centre namba
022- 2194400/0768 985 100
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza
Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano,
Tanesco-Makao Makuu
Post a Comment