TAZAMA PICHA JINSI UPIGAJI KURA WA RASIMU INAYOPENDEKEZWA WAENDELEA LEO BUNGENI MJINI DODOMA.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa upande wa Zanzibar akiweka kura yake ya siri ndani ya sanduku la kuhifadhia kura mara baada ya kukamilisha kupiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa bungeni mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa upande wa Zanzibar akiweka kura yake ya siri ndani ya sanduku la kuhifadhia kura mara baada ya kukamilisha kupiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa bungeni mjini Dodoma.
  Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Shymar Kwegir akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akipiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Tanzania ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Mizengo Pinda akiipigia kura Rasimu inayopendekezwa
 Makamu wa Pili wa Zanzibar ambaye pia Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Seif Ali Idd akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum toka upande wa Zanzibar, Mhe. Pandu Ameir Kificho naye akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa bungeni mjini Dodoma.
 Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Hassan Suluhu akipiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

 Waziri wa TAMISEMI ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hawa Ghasia akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Mwalimu akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akipiga kura yake kwa ajili ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati namba Tano ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Asha-Rose Migiro akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Juma Nkamia akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
  Wajumbe mbalimbali wa Bunge Maalum la Katiba,wakichangia hoja wakati wa upigaji kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa Bungeni hapo leo 30 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ally Kessy akiipigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa bungeni hapo  2014 mjini Dodoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post