VIJANA WANASWA MWENGE DAR NA KAMERA YA GPL

Vijana wanne wakiwa wamesimama kando ya mzunguko wa barabara 'round about' ya Mwenge wakiwa wamevaa mavazi ya rangi ya njano.
KAMERA ya GPL imewanasa vijana wakiwa kando ya mzunguko wa barabara 'round about' ya Mwenge, wakiwa wamesimama wakiwa wamevaa mavazi ya rangi ya njano.
Kutoka kushoto kijana akiwa na gitaa, mwingine koti la daktari, fundi na wa mwisho akiwa na Laptop
GPL ilifanya juhudi za kuzungumza na wahusika wawili lakini jibu walilolitoa lilikua ni moja, rahisi na fupi,

Post a Comment

Previous Post Next Post