WAFANYABIASHARA KARIAKOO WAHAIRISHA MGOMO

Wafanyabiashara hao wakiwasikiliza viongozi wao (hawapo pichani) 
(STORI/PICHA NA GLOBAL WHATSAPP +255 753 715 779)
Wafanyabiashara wa Kariakoo waliokuwa katika mgomo wa kutumia mashine za Kodi za TRA (EFD), leo asubuhi wamekutana na viongozi wao ambapo wamekubali kufungua maduka huku suala lao likitafutiwa ufumbuzi zaidi.

Post a Comment

Previous Post Next Post