WAGOSI WA KAYA WAISHIKISHA ADABU POLISI MORO, WAITANDIKA 2-0 'COASTAL DAY' MKWAKWANI

TAMASHA la ‘Coastal Day’ limefanyika leo katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga ambapo mashabiki na wanachama wa klabu hiyo wamepata nafasi ya kuwaona wachezaji wapya waliosajiliwa majira ya kiangazi mwaka huu.
Coastal walioweka kambi ya mwezi mmoja kisiwani Pemba wamecheza mechi ya kirafiki na Polisi Morogoro ili kusindikiza tamasha hilo.
Afisa habari wa Coastal Union, Oscar Assenga amesema  Bofya Hapa Kuendelea kusoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post