WAKAZI WA VIJIJI VYA KASESE,KASEGANYAMA NA NKUNGWI WAKISIKILIZA HOTUBA YA MKUU WA WILAYA MPANDA PAZA MWAMLIMA.

DSCN6367_New1[1] 
Wakazi wa vijiji vya kasekese,kaseganyama na Nkungwi wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Mpanda Paza Mwamlima hayupo pichani alipokuwa akiwahutubia na kuwapa elimu juu ya madhara ya kuvamiamaeneo yasiyoruhusiwa kisheria na kuataka waondoka kabla sheria haijachukua mkoando wake,kwa kuwa kuendelea kukaa katika maeneo yaliyo nje ya mipaka ya vijiji ni kuvunja sheria nanserikali inawapenda ndiyo maana iawaeleza waondoke wenyewe kwa hiari kuliko kuondolewa kwa nguvuimage_2[1] 
mama Paulina  pandisha  Mkazi wa kijiji cha Kasekese akipaza sauti yake kuwalaumu viongozi wa vijiji kwa kushindwa kuwafahamisha wananchi mipaka ya vijiji vyao unaopakana na jumuiya ya uhifadhi wanyamapori ya Ubende wma akitoa malalamiko yake kwa mkuu wa wilaya ya mpanda PAZA MWAMLIMA Hayupo pichan

Post a Comment

Previous Post Next Post