AJALI:- LORI LA MAFUTA LAPINDUKA MBAGALA NA KUWAKA MOTO WATU WAFA

Picha si Halisi
Habari zilizotufikia usiku huu kutoka Mbagala, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam ni juu ya ajali ya lori la mafuta kupinduka Mbagara Rangi 3 majira ya saa tano usiku, na kulipuka, nyumba kadhaa zimeteketea na watu zaidi ya 50 wanaripotiwa kufa. Hisia za Mwananchi Blog inatoa pole kwa wote waliofikwa na janga hilo.

Post a Comment

Previous Post Next Post