AJALI MBAYA YAUA ENEO LA TENGERU, ARUSHA


Imetokea ajali mbaya eneo la Tengeru kuelekea Usa, kati ya lory na gari dogo la abiria (hiace) watu kadha wamefariki na majeruhi ni wengi.

Watu 9 wamekufa na wengine 2 wamejeruhiwa baada ya basi dogo la abiria Toyota Hiace kugongana uso kwa uso na lori mafuta katika eneo la Usa River, Arusha
Source; RADIO ONE STEREO
 

Post a Comment

Previous Post Next Post