Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Abdulrahman Kinana
akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete muda mfupi baada ya
Rais kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma jana, ambapo aliongoza
vikao vya CCM. Wa pili kushoto ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na watatu
kushoto ni Makamu wa CCM Bara, Philip Mangula. (PICHA NA FREDDY MARO)
Baadhi Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Dodoma wakimvika
skafu na kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma ambapo
anatarajiwa kuongoza vikao vya ngazi ya juu vya CCM.
Post a Comment