Mchezaji wa timu ya Hardrock katikati akijiandaa kupiga mpira katikati ya mabeki wa timu ya Kipanga
Beki wa timu ya Kipanga Abubakari Ayuob akijiandaa kumzuiya
mshambulioaji wa timu ya Hardrock, wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya
grand malt uliofanyika uwanja wa amaan.
Golikipa wa timu ya Kipanga Abdallah Ramadhan akidaka mpira wakati wa mchezo wao na Hardrock uliofanyika uwanja wa Amaan.
Golikipa wa timu ya Kipanga Abdallah Ramadhan, akiruka juu bila ya
mafanikio na mpira kuigia golini uliopigwa na mchezaji Burhan Rashid
kuifanya timu ya Kipanga kutoka kivua mbele kwa bao 1--0.
Wachezaji wa timu ya Hardrock wakishangilia bao lao lililofunkatika
katika dakika ya 70 ya mchezo huo na mshambuliaji wake Burhani Rashid,
mchezo uliofanyika uwanja wa amaan.
Post a Comment