Mwalimu huyo, Mark Black, ambaye pia ni kocha wa mieleka shuleni hapo, alisimamishwa pamoja na malipo kwa muda wakati uchunguzi wa tukio unaendelea; si kama adhabu, bali ni utaratibu wa shule za jimbo hilo. Wanafunzi wengi walijitokeza kum-support mwalimu huyo, kwa kusema alijihami baada ya kushambuliwa kwanza. Walianzisha mpaka Facebook Page, “We Support Coach Black of Samohi” ambayo imepata zaidi ya Likes 20,000. “Samohi” ni kifupi cha Santa Monica High [school] Mwalimu huyo aliruhusiwa kurudi kazini baada ya uchunguzi kuonyesha hakuwa na hatia Wanafunzi wengi walikuwa upande wa mwalimu huyo, ikiwemo kuanzisha

Post a Comment