Mdau wa Mziki wa Kizazi kipya ndani ya Bongo na Kwengineko. Pokea kazi
mpya toka kwa wakongwe hawa wawili katika kuihamasisha jamii ya ki
TANZANIA kuhusu hali ya sasa na Uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015. Wimbo
umefanywa Mwanalizombe Records chini ya Producer Villy. Enjoy
Post a Comment