Msichana mwenye miaka 19 kutoka China amemake headline kwa kutoa
uroda kwa wanaume tofauti katika kila jiji analotembea. Anachotaka ni
mwanaume huyo kumlipia tu usafiri na malazi.

Msichana huyo ambaye ni mwanafunzi, Ju Peng, kutoka Shanghai, amepost
tangazo online kuwa anataka ‘wapenzi wa muda’ ambao wanatakiwa kuwa na
sura nzuri, miaka chini ya 30, warefu zaidi ya 1.75 metres na of course,
wawe na mshiko.

‘Watalipia usafiri wangu hadi katika mji wao na gharama zingine
nikiwa huko na wanatakiwa kuwa wakarimu. Baada ya hapo watakuwa nami kwa
usiku mzima, ntawajali na nafasi ya kuuza sura na kampani ya msichana
mrembo’

Hata hivyo watu wengine wamesema mpango ni umalaya na wameomba tangazo lake litolewe mtandaoni.


Post a Comment