RAIS KIKWETE AANZA ZIARA YA SIKU SITA CHINA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Kamanda wa Jeshi la Polisi nchini,IGP Ernest Mangu wakati akiondoka katika Uwanjawa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wakuamkia jana tayari kuanza  ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya
Watu wa China kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping. (PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe
Raymond Mushi wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo tayari kuanza
ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China kwa mwaliko
wa Rais Xi Jinping.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na maafisa wa Ubalozi wa China
nchini Tanzanioa  wakati akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo tayari
kuanza  ziara rasmi ya siku sita katika Jamhuri ya Watu wa China kwa
mwaliko wa Rais Xi Jinping.

Post a Comment

Previous Post Next Post