Rais Kikwete aongoza kikao cha NEC Dodoma

1aMwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM(NEC)  kilichofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo. 2aMwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula wakati wa ufunguzi wa kikao cha NEC mjini Dodoma leo.(picha na Freddy Maro). 3a 
 Baadhi ya wajumbe wa NEC wakiwa katika kikao hicho

Post a Comment

Previous Post Next Post