Rais Kikwete awasili mjini Dodoma

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba Mh.Samuel Sitta akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mjini Dodoma ambapo anatarajiwa kupokea katiba mpya inayopendekezwa.
(photo by Freddy Maro)

Post a Comment

Previous Post Next Post