Hii ndiyo picha ya askari hao iliyozagaa kwenye mitandao ya kijamii wakila ujana na sare za kazi.
JESHI la polisi mkoani Kagera,
limewafuta kazi askari watatu kwa kosa la kupiga picha zilizo kinyue na
maadili na kuzisambaza mitandaoni.
|
Kamanda a Polisi Mkoani Kagera Henery
Mwaibambe amewataja askari hao kuwa ni PC ASUMA MPAJI MWASUMBI mwenye
namba F. 7788, PCFADHIL LINGA mwenye namba G.2122 naVERONICA NAZAREMO
MDEME wote walikuwa askari wa kikosi cha usalama barabarani wilaya ya
Misenyi.
Mwaibambe, amemtaja PC FADHIL kuwa ndiye
aliyepiga picha hiyo na kuisambaza mitandaoni kinyume cha sheria na
kuisambaza mitandaoni.
Post a Comment