Vuta ni kuvute iliendelea jukwaani na
baadaye askari polisi waliingilia kati na kutuliza vurugu hizo na mchezo
ukaendelea kwa dakika 45 zilizosalia
-picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Wabunge wa Shinyanga wakiwasihi wakazi wa Shinyanga kuacha kufanya fujo na kuwashauri wachezaji wa Yanga washuke jukwaani -picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Askari polisi wakiwadhibiti mashabiki
wa Stand United waliokerwa na kitendo cha wachezaji wa Yanga
kung'ang'ania jukwaa kuu wakati vyumba vya kubadilishia vipo.Wachezaji
hao walisikika wakisema vyumba vilivyopo uwanjani hapo ni vichafu
-picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Wachezaji Yanga wakikabiliana na mashabiki wa Stand United,katikati ya nguzo mbili yupo kocha wa Yanga Maximo -picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Waandishi wa habari wakichukua matukio,wakati Wachezaji wa Yanga wakirudi uwanjani baada ya kutoka jukwaa kuu -picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Askari polisi wakifanya yao uwanjani wakati wa vurugu hizo,ambao walifanikiwa kuzima vurugu hizo -picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog |
Kulia ni kocha wa Yanga Maximo wakati wa
kipindi cha kwanza cha mchezo,kabla ya vurugu,Katika kipindi cha kwanza
Yanga walipata bao moja,na kipindi cha pili wakapata mabao mawili huku
Stand united wakiwa na 0-picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Post a Comment