WABUNGE WA KAMATI YA UCHUMI VIWANDA NA BIASHARA WATEMBELEA KIWANDA CHA KONYAGI
Hisia0
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw.
David Mgwassa wa pili kulia akiwaongoza wabunge wa kamati ya uchumi
viwanda na biashara kutembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa kushoto akifafanua jambo mbele ya wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara kutembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaam
Post a Comment