Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar,Mhe. Fatma Abdulhabib
Ferej,akimkabidhi msaada mmoja wa Watu wenye ulemavu Kisiwani Pemba
vifaa vya kutembelea makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vua
Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Chakechake Pemba.
(Picha na Ussi Faki-Pemba).
Post a Comment