YANGA YATUA SHINYANGA, YAPOKELEWA KWA SHANGWE YA KUTOSHA.

Msafara wa watu 40, ukiwa na jumla na jumla ya wachezaji 28 wa kikosi cha kwanza wa timu ya Young Africans tayari umeshawasili salama mjini Shinyanga na kupokelewa na wapenzi, washabiki na wanachama wa timu hiyo katika eneo la Tinde (km 35) kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Stand United.
PICHA ZOTE NA BARAKA KIZUGUTO WA YANGA.

Post a Comment

Previous Post Next Post