ARSENAL YASHINDA DHIDI YA WEST BROMWICH ALBION BAO 1 - 0
Hisia0
Mshambuliaji
wa Arsenal, Danny Welbeck (kushoto) akishangilia na baada ya kuifungia
bao pekee Asrenal dakika ya 69 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West
Bromwich Albion jioni hii katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
Post a Comment