BASI LA WANAFUNZI WALEMAVU SINZA LAACHIWA HURU

Basi hilo likiwa maeneo ya shule.
Watoto walemavu wakiwa shuleni.
HATIMAYE Basi la Shule ya Msingi Sinza Maalum (Walemavu  wa akili )lililokuwa limekamatwa na polisi wa usalama barabarani kwa kosa la kushindwa kuelewana na dereva, hatimaye juzi  limeachiwa huru na wanafunzi wameanza kuhudhuria masomo kama kawaida.
(Stori, Picha: Chande Abdallah na Gabriel Ng’osha/GPL)

Post a Comment

Previous Post Next Post