GHOROFA LAVUNJWA MBEZI KUPISHA MABOMBA YA DAWASCO

Sehemu ya ghorofa iliyobomolewa ili kupisha upitishaji wa bomba hilo.
Mtaro ukipita karibu na ghorofa. Moja ya bomba likiwa tayari kwenye mtaro.
Baadhi ya mabomba yakiwa hayajafukiwa. Mtaro ukipita jirani na karakana ya Mafundi Seremala.
KUFUATIA  mamlaka ya maji safi na taka jijini Dar es Salaam (Dawasco) kuweka mabomba maeneo ya Mbezi Makonde, jijini Dar es Salaam imelazimika kuvunjwa kwa baadhi ya biashara, majengo, nyumba na ghorofa zilizoko katika njia itayopita bomba hilo.

Post a Comment

Previous Post Next Post