Stori: MUSA MATEJA
MSANII wa kitambo ndani ya
Bongo Movies, Juma Chikoka, amenaswa akila nyama ya nguruwe (kitimoto)
huku ikiaminika kuwa ana imani isiyotumia mnyama huyo.
Msanii kitambo ndani ya Bongo Movies, Juma Chikoka akijimegea kipande cha nyama (kitimoto).
Tukio hilo lilijiri hivi karibuni maeneo ya Sinza jijini Dar ambapo
msanii huyo alijumuika na marafiki zake pasipo kujua paparazi wa
kujitegemea alikuwa akifanya kazi yake ya kufotoa picha.
Alipotafutwa Chikoka kuhusiana na ishu hiyo, alionekana kujikanyaga na majibu yake ni haya:
“Dini hairuhusu lakini mimi naamini kuna watu wananichafua, mimi ni Muislamu safi jamani…lakini vijana wanasema afya haiingiliani na dini,” alisema Chikoka.
“Dini hairuhusu lakini mimi naamini kuna watu wananichafua, mimi ni Muislamu safi jamani…lakini vijana wanasema afya haiingiliani na dini,” alisema Chikoka.
Post a Comment