KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MTAMA

01
3
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kukamua maziwa katika kituo cha uugaji cha Masister cha Narunyu Mtama mkoani Lindi wakati alipotembelea kituo hicho.02
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya Masister mara baada ya kuwasili katika kituo hicho katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.1
Baadhi ya Ng'ombe wakiwa katika shamba hilo. 17
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa tanki la maji katika mradi wa maji unaojengwa katika kata ya Nyangamara jimbo la Mtama.12
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kitabu kinachoelezea shughuli mbalimbali zilizotekelezwa na Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Bernard Membe alipotembelea ofisi ya mbunge huyo. 11
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika shughuli za kubangua korosho wakati alipotembelea kikundi cha akina mama cha kubangua korosho katika kata ya Nyegendi jimbo la Mtama. 9
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kuchambua korosho kwa mashine katika kata ya Nyegendi wakati alipokitembelea kikundi cha kubangua korosho kinachoendeshwa na akina mama.
 8
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo la Mtama wakiwa katika kikao cha ndani wakizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana . 7
Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Maifa Mh. Bernard Membe akizungumza na wajumbe wa mkutano huo huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikilizia wa pili kutoka kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na 
. 18 
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi. kushoto na Mbunge wa jimbo la Nchinga Mh. Said Mtanda wakicheza ngoma za asili ya kabila la Kimakonde wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika kata ya Chiuta jimbo la Mtama mkoani Lindi19Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo. 24
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Chiuta leo. 23
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano huo. 22
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano huo. 21Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akimsikiliza Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Bernard Membe wakati wa mkutano huo. 20 Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Bernard Membe akizungumza na wananchi wa jimbo lake katika kata ya Chiuta leo

Post a Comment

Previous Post Next Post