Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Wajumbe wa
Halmashauri Kuu ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara baada ya kupokea
taarifa za chama na serikali juu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya
CCM 2010
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupasua mawe wakati wa ujenzi wa mradi wa maji Sengenya
Ujenzi
wa mradi wa maji wa Sengenya ukiwa unaendelea ambapo ukikamilika
utasaidia vijiji vitatu wilayani Nanyumbu mkoa wa Mtwara.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupanga mawewakati wa
ujenzi wa bwawa la maji la Sengenya ambalo litasaidia vijiji vya
Sengenya ,Mara na Nangarinje.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Daktari
Mkuu wa Wilaya wilaya ya Nanyumbu Dkt. Ahmad Mhando ambapo Katibu Mkuu
wa CCM alitembelea kituo hicho cha afya cha Mangaka.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiagana na Daktari Mkuu
wa Wilaya wilaya ya Nanyumbu Dkt. Ahmad Mhando baada ya kukagua kituo
hicho cha afya cha Mangaka
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia wakina Mama wakifyatua
matofali kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya UWT wilaya ya Nanyumbu mkoa wa
Mtwara
Mbunge
wa Jimbo la Nanyumbu Dunstan Daniel Mkapa akihutubia wakazi wa Mangaka
mji ni na kuelezea utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Mangaka
wilaya ya Nanyumbu na kuwataka wananchi hao kujiandikisha kwenye
madaftari ya wapiga kura .
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mangaka
wilaya ya Nanyumbu ambapo aliwaambia CCM ya sasa itakuwa kali kuliko
wakati wowote na itaisimamia serikali na kuipongeza inapofanya vizuri na
itakapofanya vibaya itasemwa.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo wakati wa
mkutano wa hadhara uliofanyika Mangaka mjini wilaya ya Nanyumbu mkoani
Mtwara.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipandisha bendera mara baada ya
kufungua shina la wakereketwa Maneme wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara.
Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia daraja la Umoja lililopo mpakani na Tanzania.
Daraja la Umoja.
Katibu
Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa NEC
itikadi na Uenezi Nape Nnauye kutanzama daraja hilo linalounganisha nchi
mbili za Tanzania mfumo.
Shehena ya mbao zilizokamatwa ma TRA Mtambaswala
Katibu Mkuu wa CCM akiondoka kwenye ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania zilizopo Mtambaswala
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wa CCM wa
wilaya ya Nanyumbu wakikata utepe kuashiria kufunguliwa kwa jengo la
ofisi ya CCM kijiji cha Chungu kata ya Nanyumbu.
Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Ndugu Shaibu Akwilombe akiwasalimu wananchi wa kata ya Nanyumbu,wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara.
Wananchi wakimfurahia kumuona mkuu wao mpya wa mkoa
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Halima Dendego akiwasalimu wananchi wa kata ya Nanyumbu mkoani Mtwara
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman akimkabidhi kadi ya CCM Ndugu Yasin
Seleman maarufu kwa jina la Msouth aliyekuwa mgombea wa nafasi ya
uenyekiti kupitia Chadema.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara Ndugu Mohamed Sinani akihutubia wakazi wa kata ya Nanyumbu kabla hajamkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kianana.
Katibu
Mkuu wa CCM ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa kata ya
Nanyumbu ambapo aliwaambia wananchi kuwa serikali lazima irahishe
taratibu za kufanya biashara mpakani
Kila mtu anamsikiliza Kinana kwenye mikutano yake....
Post a Comment