Mwanamke anayeingia kileleni mara 90 kila saa moja, amezungumza
jinsi tatizo hilo nadra lilivyoyafanya maisha yake magumu kama jehanamu.
Cara akifika kileleni mbele ya mume wake
Cara Anaya anasumbuliwa na tatizo liitwalo ‘Persistent Genital Arousal Disorder’.

Mwanamke huyo mwenye miaka 30, mkazi wa Arizona, Marekani, alikutwa
na tatizo hilo lisilotibika miaka mitatu iliyopita na hupata mshindo wa
mapenzi hadi masaa sita kila siku.

Lakini hata hivyo kile kinachofahamika kama kitu cha starehe zaidi kwa wanawake, kimegeuka kuwa mateso kwake.

Cara, anayeishi na mume wake Tony Carlisi, 34, na mtoto wao Merrick,
10, anasema: “Inafedhehesha, inachanganya, inaabisha. Unapokuwa karibu
na watoto unajisikia kama shangingi sababu ya hisia hizi za nguvu
zinavyoshambulia mwili kwa wakati mmoja.”
Cara na mwanae wa kiume
Hali hiyo imemfanya Cara aache kazi na kuwa mama wa nyumbani tu
kuogopa kuaibika. Cara anadai kuwa hali hiyo ilitokea tu ghafla wakati
akifanya shopping.
Cara na mume wake
Wakati akitembea kwenye duka hilo alijikuta akisisimuka kwa kila kitu alichokiona au kukishika.
Bila kujua kinachoendelea, Cara aliendelea kupata hisia hizo hadi alipoanguka sakafuni na kufika kileleni mara kadhaa.
Bila kujua kinachoendelea, Cara aliendelea kupata hisia hizo hadi alipoanguka sakafuni na kufika kileleni mara kadhaa.

Akiwa na woga, Cara alijivuta hadi kwenye gari na kumpigia simu
rafiki yake Jenny alipofika nyumbani na akishindwa kufafanua
kilichotokea na aliendelea kufika kileleni jioni hiyo.
Baada ya kufika kileleni mara 160 katika masaa mawili peke yake, Cara
aliamua kuvunja ukimya na kwenda hospitali ambako hakupata msaada
wowote. Madhara ya hali hiyo ni pamoja na kupungukiwa maji, kuumia
magoti na viwiko na kuchoka kwa kiasi kikubwa kutokana na kukosa
usingizi.

Post a Comment