
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad
akisalimiana na Balozi wa Norway nchini, Bibi Hanne Marie Kaarstad
aliyefika ofisini kwa Migombani mjini Zanzibar kufanya kwa ajili ya
kufanya mazungumzo nayo

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Balozi wa Norway nchini, Hanne Marie Kaarstad wakiwa katika mazungumzo huko ofisini kwa Makamu wa Kwanza, Migombani mjini Zanzibar. (Picha na Salmin Said, OMKR).
Post a Comment